Siasa
Bwawa la Nyerere kuweka historia nyingine wiki ijayo
Waziri wa Nishati, January Makamba amesema katika mwaka wa fedha unaokuja wizara itakamilisha ujenzi wa Bwawa la Kufua Umeme wa Maji la ...Serikali kujenga vituo vya mafunzo kwa waraibu wa dawa za kulevya
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge na Uratibu, Jenista Mhagama amesema Serikali imejenga vituo maalum vya urekebu na ...Afrika Kusini yamuunga mkono Dkt. Tulia Urais wa IPU
Afrika Kusini imemuunga mkono, Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt Tulia Ackson ambaye anagombea kiti cha Urais wa Umoja wa Mabunge Duniani ...Marekani imefuta Visa ya Spika wa Bunge la Uganda kisa Sheria ya Kupinga Ushoga
Marekani imefutilia mbali visa ya Spika wa Bunge la Uganda, Anita Among huku mbunge, Asuman Basalirwa akisema yeye ndiye mwathirika wa kwanza ...Asimamishwa kazi kwa kukausha bwawa la maji ili kutafuta simu yake
Afisa wa serikali nchini India, Rajesh Vishwas ambaye alitoa maji kwenye hifadhi ili kutafuta simu aliyoiangusha wakati akipiga selfie, amesimamishwa kazi. Inaelezwa ...Ufafanuzi wa Polisi kuhusu madai ya Kigwangalla kumpiga risasi mlinzi
Kufuatia taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikimhusisha mbunge wa jimbo la Nzega Vijijini na mmiliki wa kiwanda cha kuchakata pamba kiitwacho ...