Siasa
Rais Samia: Mishahara ya watumishi itaongezwa kila mwaka
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imepanga kurudisha nyongeza za mishahara za kila mwaka kwa wafanyakazi utaratibu ambao ulikuwa umesimama kwa muda ...Serikali yatoa bilioni 230 za ujenzi wa miundombinu ya shule za msingi
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa imepeleka kiasi cha shilingi bilioni 230 kwa ajili ya ujenzi na ukarabati ...Sudan: Jenerali Hemedti akataa kufanya mazungumzo, atoa sharti
Mkuu wa kikosi cha usaidizi cha RSF, Jenerali Mohamed Hamdan Dagalo, anayefahamika zaidi kama Hemedti amesema hatofanya mazungumzo mpaka mashambulio ya mabomu ...Mbunge: Serikali inachukua mgawanyo mkubwa wa viingilio uwanjani
Mbunge wa Iramba Mashariki, Francis Mtinga ameiomba Serikali kupitia upya mgawanyo wa mapato ya viingilio yanayopatikana uwanjani katika timu za mpira nchini ...Rais Samia apandisha dau magoli ya Simba na Yanga hadi milioni 10
Rais Samia Suluhu Hassan ameongeza fedha za motisha kwa timu za Simba na Yanga kutoka shilingi milioni 5 hadi shilingi milioni 10 ...Kagame: Rais Samia ameleta suluhu ya kudumu ya migogoro
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania na Rwanda zimekubaliana kuendelea kufanya kazi kwa pamoja katika masuala ya ulinzi na usalama ili kuhakikisha ...