Siasa
Waziri Mbarawa: Miaka miwili ya Rais Samia ni neema sekta ya Ujenzi
Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imesema katika kipindi cha miaka miwili ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan imeweza kupiga hatua kubwa ...Rais Samia: Ni fahari Watanzania tumejenga Ikulu yetu
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kwa mara ya kwanza katika historia, Tanzania imefanikiwa kujenga Ikulu yake kwa kutumia rasilimali zake pamoja na ...Mkuu wa Jeshi la Sudan amfukuza kazi kamanda wa jeshi la akiba
Mkuu wa Jeshi la Sudan, Luteni Jenerali Abdel Fattah al-Burhan amemfuta kazi makamu wake ambaye pia Kamanda wa Kikosi cha Msaada wa ...Rais Samia apandisha dau hadi milioni 20 kwa kila goli kwa Yanga
Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kuongeza fedha za motisha kwa timu ya Yanga kutoka TZS milioni 10 hadi TZS milioni 20 kwa ...Waziri Mkuu: Rais Samia ana lengo la kuwawekea mazingira bora wafanyabiashara
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan ina lengo la kuwawezesha na kuwasimamia ...