Siasa
Tanzania kuwa Kitovu cha uzalishaji, uchakataji na usafirishaji wa madini
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imefikia uamuzi wake wa kuingia makubaliano na kampuni zenye uwezo wa kuchimba na kuchakata ...Waziri Mkuu Japan arushiwa bomu la moshi akihutubia
Waziri Mkuu wa Japan, Fumio Kishida ameondolewa kwenye hafla bila kujeruhiwa, baada ya mshukiwa kurusha kile kilichoonekana kuwa bomu la moshi kwenye ...Waziri Mkuu: Tumeanza kuifanyia kazi ripoti ya CAG
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali tayari imeanza kuifanyia kazi taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) baada ...Mwanza: Magari yasimamishwa kwa saa nne ili Makamu wa Rais apite
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amesema amesikitishwa na kitendo cha Jeshi la Polisi kufunga barabara kwa saa nne katika msafara wake ...Mbunge: Misafara ya viongozi inakwamisha shughuli za wananchi
Mbunge Kunti Majala amedai misafara ya viongozi wa juu wa Serikali ambayo hutumia muda mrefu na kuwasubirisha wananchi pamoja na mabasi ya ...Mapendekezo 10 ya ACT Wazalendo Ripoti ya CAG 2021/22
Chama cha ACT-Wazalendo leo Aprili 10, 2023 katika mkutano na vyombo vya habari kimetoa mapendekezo kwa Serikali kutokana na ripoti iliyotolewa na ...