Siasa
Mwanasiasa afungwa kwa njama za kuiba figo
Mahakama ya London imemfunga jela miaka tisa na miezi nane mwanasiasa wa Nigeria, Ike Ekweremadu (60) baada ya kufanya njama ya kumpandikiza ...China yapunguza mikopo kwa Kenya
Mikopo ya China kwa bajeti ya Serikali ya Kenya itakuwa ndogo zaidi katika kipindi cha miaka 16 huku Beijing ikichukua tahadhari zaidi ...Naibu Waziri: Hakuna chombo cha habari kilichofungiwa katika kipindi cha Rais Samia
Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Kundo Mathew amesema katika kipindi cha miaka miwili cha Rais Samia Suluhu ...Rais Samia: Wafanyakazi wana mchango mkubwa kukua kwa uchumi wa Tanzania
Kufuatia pongezi zilizotolewa na Benki ya Dunia na Shirika la Fedha Duniani (IMF) kuipongeza Tanzania kwa kukua kwa uchumi pamoja na mipango ...Waziri wa Uganda auawa na mlinzi wake
Waziri wa Kazi, Ajira na Mahusiano ya Viwanda nchini Uganda, Kanali Mstaafu Charles Okello Engola ameuawa kwa kupigwa risasi asubuhi ya leo ...Rais Samia: Mishahara ya watumishi itaongezwa kila mwaka
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imepanga kurudisha nyongeza za mishahara za kila mwaka kwa wafanyakazi utaratibu ambao ulikuwa umesimama kwa muda ...