Siasa
Kenya: Waandamanaji wavamia shamba la Rais Kenyatta
Mamia ya waandamanaji waliokuwa na silaa wamevamia shamba linalomilikiwa na familia ya aliyekuwa Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta siku ya Jumatatu asubuhi ...Shujaa wa Hotel Rwanda amwomba radhi Kagame, aachiwa huru
Shujaa wa filamu ya Hollywood inayojulikana kama Hotel Rwanda, Paul Rusesabagina (68) ameachiliwa kutoka jela mjini Kigali miaka miwili baada ya kuhukumiwa ...Malema: Hakuna atakayemkamata Putin akiwasili Afrika Kusini
Chama cha upinzani cha Afrika Kusini, Economic Freedom Fighters (EFF), kimesema Rais wa Urusi, Vladimir Putin anakaribishwa kuzuru Pretoria licha ya hati ...Rais Mteule wa Nigeria aenda mapumziko Ulaya
Rais Mteule wa Nigeria, Bola Tinubu amesafiri hadi nchini Ufaransa na Uingereza ili kupumzika na kupanga mpango wa mpito kabla ya kuapishwa ...Rais Dkt. Mwinyi na Dkt. Kikwete watunukiwa tuzo Marekani
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi na Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete wamekabidhiwa Tuzo ya Rais ...Kenya: Viongozi 6 hatarini kufungwa kwa kuratibu maandamano
Viongozi sita wa Azimio la Umoja, akiwemo Seneta wa Kilifi Stewart Madzayo, huenda wakahukumiwa adhabu ya kifungo cha mwaka mmoja gerezani baada ...