Siasa
Mchungaji Mtaita ashikiliwa kwa uchochezi
Jeshi la Polisi mkoani Manyara, limesema Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Boay wilayani Babati, Eleth Mtaita ...Uchaguzi Kata ya Mzinga waahirishwa baada ya kifo cha mgombea
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesitisha uchaguzi wa udiwani katika Kata ya Mzinga, Jimbo la Kivule, Dar es Salaam kufuatia ...Lema aitwa Polisi kuwasilisha madai yake
Jeshi la Polisi limemsisitiza Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema kufika katika kituo cha Polisi ili awasilishe rasmi taarifa aliyoitoa ...Benki Kuu yakanusha kuchapisha fedha kwa ajili ya uchaguzi
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imekanusha taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa inachapisha na kusambaza fedha kwa ajili ya uchaguzi ...JWTZ lawaomba Watanzania kupuuza taarifa za uchochezi mitandaoni
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limewaomba Watanzania kupuuza machapisho/ taarifa kwenye mitandao ya kijamii yenye lengo la kuleta uchochezi ...Mahakama yatupilia mbali kesi ya Luhaga Mpina
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu Dodoma imetupilia mbali kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na mwanachama wa ACT-Wazalendo, Luhaga Mpina pamoja na ACT- ...








