Siasa
Urusi na China zatia saini makubaliano ya ushirikiano wa kimkakati
Rais wa Urusi, Vladimir Putin na Rais wa China, Xi Jinping wametia saini ushirikiano mpya wa kimkakati kati ya nchi zao na ...Kamati ya Bunge yashauri Barabara ya Kimara-Kibaha iwekewe tozo
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeishauri Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kuanza na mfumo wa barabara zenye tozo ...Rais Samia aitega wizara ya kilimo kuhusu fedha alizotoa
Rais Samia Suluhu Hassan amesema hatavumilia kuona fedha za Watanzania alizotoa kwa ajili ya miradi mbalimbali ikiwemo uzalishaji wa kilimo zikichezewa. Kauli ...Odinga: Tutafanya maandamano kila Jumatatu
Kiongozi wa Azimio la Umoja nchini Kenya, Raila Odinga ametangaza kwamba kutakuwa na maandamano ya kile alichokiita kupigania haki ya Wakenya kila ...Waandamanaji Kenya watawanywa kwa mabomu ya machozi
Polisi wa kutuliza ghasia jijini Nairobi nchini Kenya wamewatawanya waandamanaji na kuwakamata baadhi yao walioandamana kuipinga Serikali ya Rais William Ruto pamoja ...Rais Samia: Tunaendelea kutekeleza mazuri tuliyoyaanzisha awamu ya tano
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kazi zinazoendelea kufanyika ni mwendelezo wa yale mazuri waliyoyaanzisha katika awamu ya tano akiwa na Hayati ...