Siasa
Rais wa Marekani aipongeza ICC kwa kutaka Rais Putin akamatwe
Rais wa Marekani, Joe Biden amepongeza uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) wa kutoa hati ya kukamatwa kwa Rais wa ...Rais Samia amteua Mizengo Pinda kuongoza baraza la kumshauri kuhusu kilimo
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Kukuza Kilimo na Kuongeza Uzalishaji wa Chakula. ...ICC yatoa hati ya kukamatwa Rais Vladimir Putin
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imetoa hati ya kukamatwa kwa Rais wa Urusi, Vladimir Putin kwa uhalifu wa kivita ikiwa ni ...Tanzania na Afrika Kusini kuimarisha uhusiano wa kisiasa na kiuchumi
Rais Samia Suluhu Hassan na Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa wameeleza azma yao ya kuimarisha uhusiano uliopo wa kisiasa na kiuchumi ...Mtoto wa Rais Yoweri Museveni atangaza kugombea Urais 2026
Mkuu wa zamani wa Jeshi la Ardhini la Uganda na mtoto wa kiume wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni, Jenerali Muhoozi Kainerugaba ...Marekani yatishia kupiga marufuku mtandao wa TikTok
Serikali ya Marekani imewataka wamiliki wa TikTok kutoka nchini China kuacha hisa zao katika programu hiyo maarufu ya video au vinginevyo watapigwa ...