Siasa
China yadai Marekani imerusha maputo kwenye anga lake bila ruhusa
China imedai puto za Marekani zimeruka juu ya anga lake bila ruhusa kwa zaidi ya mara 10 tangu mwanzoni mwa mwaka 2022. ...Rais Ramaphosa atangaza tatizo la umeme kuwa janga la kitaifa
Kutokana na tatizo kubwa la kukatika kwa umeme linaloikumba Afrika Kusini, Rais Cyril Ramaphosa ametangaza kuwa tatizo hilo ni janga la kitaifa ...Spika Tulia aagiza kauli ya Waziri Mwigulu ifutwe
Spika wa Bunge, Tulia Ackson amemtaka Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba kufuta kauli yake aliyoitoa Februari 02, 2023 katika kikao cha ...CUF yamtaka Jaji Biswalo ajiuzulu
Chama cha Wananchi (CUF) kimemtaka aliyekuwa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), Biswalo Mganga ajiuzulu cheo chake kama Jaji wa Mahakama Kuu kufuatia tuhuma ...Dkt. Tulia: Chama cha Mapinduzi hakitaachia dola
Spika wa Bunge ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Dkt. Tulia Ackson amesema hakuna siku ...Rais Samia afanya uteuzi wa viongozi mbalimbali
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Janet Zebedayo Mbene kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA). Amemteua James ...