Siasa
Rais Ruto apunguza ulinzi wa Kenyatta na wanafamilia wake
Ripoti mbalimbali nchini Kenya zimeeleza kuwa baadhi ya mabadiliko yamefanywa katika timu ya ulinzi ya Rais Mstaafu wa Kenya, Uhuru Kenyatta miezi ...ACT Wazalendo wamtaka Jaji Mkuu na Jaji Biswalo wajiuzulu
Chama cha ACT-Wazalendo kimemtaka Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma na aliyekuwa Mkurugenzi wa Mashtaka ambaye sasa ni Jaji wa Mahakama ...Kanisa Katoliki laishtaki CCM na Serikali kwa madai ya kupora ardhi
Kanisa Katoliki Jimbo la Kigoma limekifikisha mahakamani Chama cha Mapinduzi (CCM) na Serikali katika shauri la mgogoro wa ardhi kwa madai ya ...Rais Samia ataka sheria zinazochelewesha haki zifanyiwe marekebisho
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa Wizara ya Katiba na Sheria, Wizara ya Fedha kwa kushirikiana na Mwanasheria Mkuu wa Serikali ...Mhagama: Tunasubiri taarifa juu ya wateule ‘waliogomea’ ukuu wa wilaya
Kufuatia taarifa zinazosambaa mitandaoni kuhusu viongozi wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kugoma kula kiapo baada ya kuteuliwa na Rais Samia Suluhu ...Lissu: Lissu: Katiba mpya itaondoa ugumu wa maisha
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu amesema ugumu wa maisha uliopo nchini ni tatizo la kimsingi la ...