Siasa
Rais Samia awatengua viongozi watano
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya utenguzi wa nafasi za viongozi wafuatao; 1. Reuben Ndiza Mfune, Mkuu wa Wilaya ya Mbarali; ...Rwanda: Waziri mstaafu ahukumiwa miaka 5 jela kwa ufisadi
Mahakama Kuu mjini Kigali nchini Rwanda imemhukumu kwenda jela miaka mitano pamoja na kulipa faini ya Rwf30 milioni [TZS milioni 65.1] aliyekuwa ...Raila Odinga amtaka Rais Ruto ajiuzulu
Kiongozi wa Azimio la Umoja One Kenya, Raila Odinga ametangaza kuwa chama chake kamwe hakitoitambua serikali ya Rais William Ruto kutokana na ...Mbowe: Nimepoteza mabilioni kuwa CHADEMA
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema amepoteza mabilioni ya fedha kwa kuwa mwanachama wa CHADEMA na kukitumikia ...Kainerugaba: Nitakuwa Rais wa Uganda baada ya baba yangu
Mtoto wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni, Jenerali Muhoozi Kainerugaba ameandika katika ukurasa wake wa Twitter kuwa atamrithi baba yake kama Rais ...