Siasa
Waziri Bashe: Rais Samia ameipaisha Sekta ya Kilimo kimataifa
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema ni dhahiri kuwa chini ya uongozi wa Serikali ya Awamu ya Sita ya Rais Samia Suluhu ...Stika za TRA kwenye vinywaji: Wabunge walalamikia kampuni ya SICPA
Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku maarufu ‘Musukuma’ ameihoji Serikali juu ya kuendelea kuwepo kwa kampuni inayoendesha mradi wa Stempu za Kodi ...Maelekezo ya Rais Samia kwa Msajili wa Vyama vya Siasa
Rais Samia Suluhu Hassan amemuagiza Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi kuitisha kikao maalum cha Baraza la Vyama vya Siasa ...Waziri Mkuu aagiza shule zifundishe zaidi kuhusu Mwalimu Nyerere
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia pamoja na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kuandaa utaratibu utakaosaidia ...Mwanasiasa afungwa kwa njama za kuiba figo
Mahakama ya London imemfunga jela miaka tisa na miezi nane mwanasiasa wa Nigeria, Ike Ekweremadu (60) baada ya kufanya njama ya kumpandikiza ...China yapunguza mikopo kwa Kenya
Mikopo ya China kwa bajeti ya Serikali ya Kenya itakuwa ndogo zaidi katika kipindi cha miaka 16 huku Beijing ikichukua tahadhari zaidi ...