Siasa
Brazil: Waandamanaji wavamia Bunge na makazi ya Rais, wachana nyaraka
Maelfu ya waandamanaji wanaomuunga mkono aliyekuwa Rais wa Brazil, Jair Bolsonaro wamevamia makazi ya Rais, Bunge na Mahakama ya Juu katika mji ...Rais Samia ateua gavana mpya wa Benki Kuu
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Emanuel Tutuba kuwa Gavana Benki Kuu ya Tanzania (BOT). Tutuba ambaye alikuwa Katibu Mkuu Wizara ya Fedha ...Wanahabari sita wakamatwa Sudan Kusini kwa kusambaza video ya Rais Kiir
Wanahabari sita wa Shirika la Utangazaji la Sudan Kusini (SSBC) wanashikiliwa na vikosi vya usalama vya nchi hiyo kutokana na kuonesha picha ...Urusi yatangaza kusitisha vita Ukraine kupisha sikukuu ya Krismasi
Rais wa Urusi, Vladimir Putin ameamuru vikosi vyake kusitisha vita nchini Ukraine kwa saa 36 wiki hii ili kuwaruhusu Wakristo wa Orthodoksi ...Wajumbe 11 walioteuliwa na Rais katika Tume ya Uboreshaji Haki Jinai
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameteua wajumbe wa Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha Taasisi za Haki Jinai nchini inayoongozwa na ...CHADEMA yatangaza tarehe ya kuanza kwa mikutano ya hadhara
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imetangaza Januari 21 kuwa siku ya uzinduzi wa mikutano ya hadhara kitaifa. Taarifa ...