Siasa
Rais Samia ateua wapya sita, yumo David Kafulila
Rais Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi kama ifuatavyo; (1) Amemteua Dkt. Ellen Mkondya kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Hospitali ya ...Rais Samia aondoa zuio la mikutano ya hadhara
Rais Samia Suluhu Hassan ameondoa zuio la mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa nchini akieleza kuwa ni haki kwa vyama hivyo ...Rwanda yakanusha kutaka kuitungua ndege ya Rais wa Congo
Serikali ya Rwanda imekanusha madai ya DR Congo kwamba raia wa Rwanda waliokamatwa mjini Kinshasa walikuwa wakipanga njama ya kuidungua ndege iliyokuwa ...Rais Dkt. Mwinyi afuta gwaride Sherehe ya Mapinduzi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema hakutakuwepo na hafla ya gwaride la kilele cha ...CHADEMA: Tutaitoa CCM madarakani mwaka 2025
Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amesema chama hicho kitahakikisha kinaimarisha majimbo yote ya Tanzania na Zanzibar ...Watu 11 wakamatwa kwa kusambaza taarifa za uzushi kuhusu Rais Samia
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limewakamata watuhumiwa 11 kwa makosa ya kusambaza taarifa za uongo na uzushi zinazomhusu ...