Siasa
INEC yatangaza mabadiliko ya idadi ya wapigakura
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza mabadiliko ya takwimu za idadi ya wapigakura, ambapo jumla ya wapigakura waliopo katika Daftari ...Jeshi la Polisi limesema linachunguza madai ya Polepole kutekwa
Jeshi la Polisi limesema linafanya uchunguzi juu ya taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikieleza kuwa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, ...Uganda yakanusha kuwashikilia wanaharakati wawili wa Kenya
Jeshi la Polisi nchini Uganda limekanusha kuwashikilia wanaharakati wawili wa Kenya wanaodaiwa kutekwa nyara siku ya Jumatano katika mji mkuu Kampala. Mwanasiasa ...Serikali ya Hungary yafungua Ubalozi Tanzania
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo ameishukuru na kuipongeza Serikali ya Hungary kwa ...Polisi waanza uchunguzi wanasiasa Kigoma kukusanya namba za vitambulisho vya kura
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kigoma limeanza uchunguzi kufuatia tuhuma zinazohusisha baadhi ya viongozi wa kisiasa wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, wanaodaiwa ...Dkt. Samia atangaza mradi wa reli mpya Mtwara–Mbamba Bay
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan amewashukuru wananchi, viongozi wa chama hicho pamoja na viongozi ...








