Siasa
Wanadiplomasia na raia wa kigeni waendelea kuikimbia Sudan
Orodha ya nchi zinazowaondoa raia wake na wanadiplomasia kutoka nchini Sudan inazidi kuongezeka huku mapigano makali yakiendelea kushika kasi katika mji mkuu ...Rais Samia: Wazazi tusikwepe kulea watoto katika maadili
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa wazazi kuwajibika katika malezi ya watoto wao kwa kufuata maadili mema ili kuokoa kizazi kilichopo ...Mtoto aliyesaidiwa matibabu ya ngozi na Rais Samia atoka hospitali
Mtoto Aminu Baranyikwa (15) aliyesaidiwa matibabu ya ngozi na Rais Samia Suluhu Hassan wakati akiwa ziarani mkoani Kagera ameruhusiwa kutoka hospitalini na ...Museveni akataa kusaini muswada wa mapenzi ya jinsia moja, aurudisha bungeni
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amekataa kutia saini muswada wa sheria dhidi ya mapenzi ya jinsia moja unaotoa adhabu ya kifo katika ...Yemen: Watu 78 wafariki wakipatiwa msaada wa Ramadhan
Takriban watu 78 wamefariki katika mkanyagano uliotokea katika mji mkuu wa Yemen, Sana’a wakati wa ugawaji wa chakula cha msaada kwa ajili ...Serikali yasajili miradi ya trilioni 17, yaweka rekodi ya ajira
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema katika kipindi cha mwaka 2021 hadi Januari, 2023 Serikali imesajili jumla ya miradi ya uwekezaji 537 yenye ...