Siasa
Mwanza: Magari yasimamishwa kwa saa nne ili Makamu wa Rais apite
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amesema amesikitishwa na kitendo cha Jeshi la Polisi kufunga barabara kwa saa nne katika msafara wake ...Mbunge: Misafara ya viongozi inakwamisha shughuli za wananchi
Mbunge Kunti Majala amedai misafara ya viongozi wa juu wa Serikali ambayo hutumia muda mrefu na kuwasubirisha wananchi pamoja na mabasi ya ...Mapendekezo 10 ya ACT Wazalendo Ripoti ya CAG 2021/22
Chama cha ACT-Wazalendo leo Aprili 10, 2023 katika mkutano na vyombo vya habari kimetoa mapendekezo kwa Serikali kutokana na ripoti iliyotolewa na ...CHADEMA: Waziri Mkuu awajibike kwa ripoti ya CAG
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa wito kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuwajibika kwa hasara iliyojitokeza ya ubadhirifu wa fedha katika ...MADUDU UKAGUZI MAALUM WA CAG REA 2015/2016 MPAKA 2019/2020
UKAGUZI wa Ufanisi wa Mamlaka ya Nishati Vijijini (REA) uliofanywa na CAG umeimulika REA kuanzia mwaka 2015/2016 mpaka 2019/2020. Ukaguzi umefanyika kwa ...