Siasa
Wanahabari sita wakamatwa Sudan Kusini kwa kusambaza video ya Rais Kiir
Wanahabari sita wa Shirika la Utangazaji la Sudan Kusini (SSBC) wanashikiliwa na vikosi vya usalama vya nchi hiyo kutokana na kuonesha picha ...Urusi yatangaza kusitisha vita Ukraine kupisha sikukuu ya Krismasi
Rais wa Urusi, Vladimir Putin ameamuru vikosi vyake kusitisha vita nchini Ukraine kwa saa 36 wiki hii ili kuwaruhusu Wakristo wa Orthodoksi ...Wajumbe 11 walioteuliwa na Rais katika Tume ya Uboreshaji Haki Jinai
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameteua wajumbe wa Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha Taasisi za Haki Jinai nchini inayoongozwa na ...CHADEMA yatangaza tarehe ya kuanza kwa mikutano ya hadhara
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imetangaza Januari 21 kuwa siku ya uzinduzi wa mikutano ya hadhara kitaifa. Taarifa ...Rais Samia ateua wapya sita, yumo David Kafulila
Rais Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi kama ifuatavyo; (1) Amemteua Dkt. Ellen Mkondya kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Hospitali ya ...Rais Samia aondoa zuio la mikutano ya hadhara
Rais Samia Suluhu Hassan ameondoa zuio la mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa nchini akieleza kuwa ni haki kwa vyama hivyo ...