Siasa
Rais Mteule wa Nigeria aenda mapumziko Ulaya
Rais Mteule wa Nigeria, Bola Tinubu amesafiri hadi nchini Ufaransa na Uingereza ili kupumzika na kupanga mpango wa mpito kabla ya kuapishwa ...Rais Dkt. Mwinyi na Dkt. Kikwete watunukiwa tuzo Marekani
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi na Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete wamekabidhiwa Tuzo ya Rais ...Kenya: Viongozi 6 hatarini kufungwa kwa kuratibu maandamano
Viongozi sita wa Azimio la Umoja, akiwemo Seneta wa Kilifi Stewart Madzayo, huenda wakahukumiwa adhabu ya kifungo cha mwaka mmoja gerezani baada ...Urusi na China zatia saini makubaliano ya ushirikiano wa kimkakati
Rais wa Urusi, Vladimir Putin na Rais wa China, Xi Jinping wametia saini ushirikiano mpya wa kimkakati kati ya nchi zao na ...Kamati ya Bunge yashauri Barabara ya Kimara-Kibaha iwekewe tozo
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeishauri Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kuanza na mfumo wa barabara zenye tozo ...Rais Samia aitega wizara ya kilimo kuhusu fedha alizotoa
Rais Samia Suluhu Hassan amesema hatavumilia kuona fedha za Watanzania alizotoa kwa ajili ya miradi mbalimbali ikiwemo uzalishaji wa kilimo zikichezewa. Kauli ...