Siasa
Odinga: Tutafanya maandamano kila Jumatatu
Kiongozi wa Azimio la Umoja nchini Kenya, Raila Odinga ametangaza kwamba kutakuwa na maandamano ya kile alichokiita kupigania haki ya Wakenya kila ...Waandamanaji Kenya watawanywa kwa mabomu ya machozi
Polisi wa kutuliza ghasia jijini Nairobi nchini Kenya wamewatawanya waandamanaji na kuwakamata baadhi yao walioandamana kuipinga Serikali ya Rais William Ruto pamoja ...Rais Samia: Tunaendelea kutekeleza mazuri tuliyoyaanzisha awamu ya tano
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kazi zinazoendelea kufanyika ni mwendelezo wa yale mazuri waliyoyaanzisha katika awamu ya tano akiwa na Hayati ...Rais wa Marekani aipongeza ICC kwa kutaka Rais Putin akamatwe
Rais wa Marekani, Joe Biden amepongeza uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) wa kutoa hati ya kukamatwa kwa Rais wa ...Rais Samia amteua Mizengo Pinda kuongoza baraza la kumshauri kuhusu kilimo
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Kukuza Kilimo na Kuongeza Uzalishaji wa Chakula. ...ICC yatoa hati ya kukamatwa Rais Vladimir Putin
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imetoa hati ya kukamatwa kwa Rais wa Urusi, Vladimir Putin kwa uhalifu wa kivita ikiwa ni ...