Siasa
Spika Tulia ataka magari ya abiria kusafiri usiku
Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson ameitaka Serikali kuangalia upya utaratibu uliowekwa katika baadhi ya maeneo nchini wa kuyazuia magari ya abiria ...Fiyao: Uchumi wa Tanzania unakua kwenye makaratasi au mifukoni?
Mbunge wa Viti Maalum, Stella Fiyao ameitaka Serikali kuwafafanulia Watanzania wanamaanisha nini wanaposema kwamba uchumi wa Tanzania umekua kwa sababu hali mitaani ...Mkandarasi apiga TZS bilioni 64 mradi wa Bandari ya Tanga
Mbunge wa Viti Maalum, Judith Kapinga amesema mkandarasi mkuu aliyepewa tenda ya kufanya maboresho katika Bandari ya Tanga kwa kiasi cha Shilingi ...Bodi ya Mikopo yahojiwa na kamati ya bunge kwa ‘kumgomea’ waziri
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo imefika mbele ya Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya ...Mbunge aliyefukuzwa CHADEMA adai hawakusikilizwa
Mbunge wa Viti Maalum, Hawa Mwaifunga amedai yeye na wenzake 18 hawakupewa nafasi ya kujieleza mahali popote kabla Baraza Kuu la CHADEMA ...Rais Samia akemea viongozi kujimilikisha vyama vya siasa
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa vyama vya siasa kujijadili na kujitathmini wao wenyewe kuhusu mienendo yao ndani ya vyama kwa ...