Siasa
Rais Samia aweka jiwe la msingi upanuzi wa Bandari ya Kibirizi, Kigoma
Katika siku yake ya tatu ya ziara ya kikazi mkoani Kigoma, Rais Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la Msingi la Upanuzi wa ...Mnyika: CHADEMA subirini ahadi ya Rais Samia
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimewataka wanachama wake kuendelea kusubiri ahadi ya Rais Samia ya kukamilishwa mchakato wa kuruhusiwa mikutano ya ...Jeshi la Polisi lakanusha madai ya CHADEMA
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limesema kuwa limesikitishwa juu ya taarifa inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kuzuia msafara wa Katibu ...Rais Samia awasha umeme wa gridi ya Taifa na kuzima jenereta la Kasulu
Rais Samia Suluhu Hassan leo Oktoba 17, 2022 kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi amewasha umeme wa Gridi ya Taifa ...Rais Samia azitaka TAKUKURU na ZAECA kujitafakari
Rais Samia Suluhu Hassan amesema amesikitishwa na viongozi wasio waadilifu na wanaozembea makosa yanayofanyika katika miradi mbalimbali ya maendeleo na wakisubiri hadi ...China yaitoza Kenya faini TZS bilioni 25 kwa kutolipa mkopo wa SGR
China imeitoza nchi ya Kenya faini ya Ksh bilioni 1.31 [sawa na TZS bilioni 25.25] baada ya kuchelewesha malipo ya mkopo uliotolewa ...