Siasa
Vijana wanufaika na programu ya Rais Samia katika mifugo
Naibu Waziri wa Uvuvi na Mifugo, Abdallah Ulega amesema Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan inaendelea kuboresha ...Wanachama 374 wajiondoa CUF, wamtupia lawama Lipumba
Wanachama 374 wa Chama cha Wananchi (CUF) wamejivua uanachama wa chama hicho wakidai Mwenyekiti Profesa Ibrahim Lipumba anakwenda kinyume na katiba ya ...Rais Samia: Ondoeni watumishi wanaobabaisha
Rais Samia Suluhu Hassan amesema watu wanaotengeneza fitina ndani ya Serikali kwa sababu watu wao wamekosa tenda mbalimbali za Serikali wanakwamisha miradi ...China yadai Marekani imerusha maputo kwenye anga lake bila ruhusa
China imedai puto za Marekani zimeruka juu ya anga lake bila ruhusa kwa zaidi ya mara 10 tangu mwanzoni mwa mwaka 2022. ...Rais Ramaphosa atangaza tatizo la umeme kuwa janga la kitaifa
Kutokana na tatizo kubwa la kukatika kwa umeme linaloikumba Afrika Kusini, Rais Cyril Ramaphosa ametangaza kuwa tatizo hilo ni janga la kitaifa ...Spika Tulia aagiza kauli ya Waziri Mwigulu ifutwe
Spika wa Bunge, Tulia Ackson amemtaka Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba kufuta kauli yake aliyoitoa Februari 02, 2023 katika kikao cha ...