Technology
News for Hardware, software, networking, and Internet media
‘Lipa ChapChap’: Benki ya Exim Yaja na Mapinduzi ya Malipo Kidijitali
Benki ya Exim Tanzania imechukua hatua madhubuti katika kuunda mustakabali wa malipo ya kidijitali kwa kuzindua ‘Lipa ChapChap’, suluhisho la malipo yasiyotumia ...Ulega akutana viongozi wakuu wa kampuni kutoka China kujadili miradi inayosua sua
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amekutana na viongozi wakuu wa kampuni kutoka China zinazosimamia miradi ya ujenzi wa miundombinu ya mabasi yaendayo ...VODACHAT: Zijue Fursa za Uwekezaji Kidjitali
Vodacom Tanzania PLC kupitia jukwaa lake la VODACHAT imeendesha mjadala wa moja kwa moja kuhusu Fursa za Uwekezaji Katika Dunia ya Kidijitali, ...Mwanaume aishi siku 100 akiwa na moyo bandia
Mwanaume mmoja wa Australia ameishi kwa siku 100 na moyo bandia wa titani wakati akisubiri upandikizaji wa moyo kutoka kwa mfadhili, na ...VODACOM YAZINDUA DUKA LA HUDUMA KWA WATEJA NUNGWI, ZANZIBAR
Kampuni ya Mawasiliano ya simu ya Vodacom imezindua duka jipya la huduma kwa wateja kata ya Nungwi, mkoa wa Kaskazini A, ikiwa ...TRC yaomba radhi kwa treni kuchelewa kutokana na hitilafu
Shirika la Reli Tanzania (TRC) imeomba radhi kwa abiria waliosafiri kutoka Dodoma saa 2: 15 usiku kuelekea Dar es Salaam Agosti 01, ...