Teknolojia
Waziri Gwajima: Wasio na elimu ya uandaaji wa maudhui mtandaoni waache mara moja
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima amekemea ongezeko la maudhui yasiyofaa yanayozalishwa na waandaji wa ...Tanzania ya kwanza Afrika Mashariki, Kusini na Kati kwa usalama mtandaoni
Tanzania imeshika nafasi ya kwanza Afrika Mashariki, Kusini na Kati kwa usalama wa mtandaoni, kwa mujibu wa Ripoti ya Kielezo cha Usalama ...TRC yaomba radhi treni ya umeme kuzima kwa saa mbili
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeomba radhi kufuatia hitilafu ya umeme iliyojitokeza katika ya stesheni ya Kilosa na Kidete na kusababisha treni ...Tanzania yashinda shindano la TEHAMA China
Vijana watatu wa Kitanzania kutoka Chuo Kikuu cha Dar es salaam katika Ndaki ya ICT (CoICT) wameibuka washindi katika mashindano ya TEHAMA ...Serikali: Hakuna kampuni ya simu yenye leseni ya kutoa mikopo
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesema kwa mujibu wa sheria za fedha zinazosimamiwa na Benki Kuu ya Tanzania (BoT), hakuna kampuni ya ...Wanaodaiwa kusambaza picha za ngono WhatsApp wafikishwa mahakamani
Wanaume wawili, Furaha Jacob pamoja na Mustapha Kuhenga (28) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam wakituhumiwa kuchapisha na ...