Teknolojia
Waziri Nape: Elon Musk hakuwa na mpango wa kuweka ofisi Tanzania
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema mfanyabiashara, Elon Musk hakuwa na mpango wa kuweka ofisi ya Starlink ...Aina 5 ya mazungumzo ambayo hutakiwi kuyafanya kupitia ujumbe wa maandishi
Ingawa kutuma ujumbe wa maandishi (SMS) ni njia rahisi sana ya kuwasiliana, lakini kuna mazungumzo fulani ambayo hupaswi kamwe kuwa nayo kupitia ...TANAPA yakanusha kujenga lami Hifadhi ya Serengeti
Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limesema maboresho ya teknolojia yanayokusudiwa kufanywa ndani ya hifadhi hayahusishi matumizi ya lami. Taarifa hiyo ...Abiria sasa kuingia Stendi ya Magufuli kwa kadi za kulipia
Manispaa ya Ubungo imeanzisha utaratibu mpya wa kuingia katika Stendi Kuu ya Mabasi ya Magufuli kwa kutumia kadi (N-Card), ili kuboresha huduma ...Watumiaji wenye ‘blue tick’ Facebook na Instagram kuanza kulipia
Kampuni ya Meta imetangaza kuwa watumiaji wa Instagram na Facebook sasa wataweza kulipia ili akaunti zao zithibitishwe (verification). Ulipiaji huo umethibitishwa kugharimu ...Mambo ya msingi ya kufahamu unapotaka ku-verify akaunti ya Twitter
Baada ya mfanyabiashara Elon Musk kuichukua Twitter, amefanya mabadiliko makubwa katika mtandao huo ikiwemo mabadiliko kwenye Twitter Blue ambayo ina vipengele vipya ...