Teknolojia
Mambo ya msingi ya kufahamu unapotaka ku-verify akaunti ya Twitter
Baada ya mfanyabiashara Elon Musk kuichukua Twitter, amefanya mabadiliko makubwa katika mtandao huo ikiwemo mabadiliko kwenye Twitter Blue ambayo ina vipengele vipya ...Chuo cha Teknolojia cha India kuanzishwa nchini Tanzania
Serikali ya India inatarajia kuazisha Chuo cha Teknolojia (Indian Institute of Technology) nchini Tanzania ambacho kitakuwa kinatoa kozi ya masuala ya TEHAMA ...Nape: Tutadhibiti usambazaji picha za ngono mitandaoni
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ametoa tahadhari kwa watu wanaotumiwa picha za uchi kutozituma kwa watu wengine ...NALA yaungana na Vodacom M-Pesa kuleta namna rahisi ya kutuma na kupokea pesa katika nchi ...
Kampuni ya Kimataifa ya NALA na kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania kupitia M-Pesa wametangaza ushirikiano utakaowezesha watanzania walioko nchi za Umoja ...Waziri Nape: Laini ambazo hazijahakikiwa kufungwa Februari 13
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ametangaza kuwa laini zote zilizosajiliwa kupitia vitambullisho vya watu wengine zitafungiwa Februari ...LATRA: Tutawafungia madereva wa Uber na Bolt wanaofanya udanganyifu wa nauli
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imewataka watumiaji wa huduma ya usafiri wa mtandaoni kutoa taarifa haraka kwenye mamlaka hiyo wanapofanyiwa udanganyifu ...