Teknolojia
Viwango vya nauli za treni ya abiria (SGR) vilivyopendekezwa na TRC
Viwango vya nauli za treni ya abiria (SGR) kutoka Dar es Salaam hadi Bahi, Dodoma vilivyopendekezwa na Shirika la Reli Tanzania (TRC).Marekani yadai wadukuzi wa China wameiba TZS bilioni 46 za msaada wa UVIKO-19
Wadukuzi wanaohusishwa na Serikali ya China wameiba karibu dola milioni 20 [TZS bilioni 46.6] ambazo ni fedha za msaada za Serikali ya ...UNCDF na Infinix Tanzania zahamasisha ukuaji wa Fintech ili kukuza ukuaji wa mfumo wa Ikolojia ...
5 Desemba 2022, Infinix chapa bora ya Smart phone iliyoanzishwa mwaka wa 2013 kwa kujitolea kujenga teknolojia ya kisasa iliyosanifiwa kwa umakini ...Nigeria kuzindua roboti wa Kiafrika anayezungumza Kiswahili
Nigeria inatarajia kuzindua roboti ya kwanza barani Afrika yenye sura ya binadamu iliyopewa jina la ‘Omeife’ leo Desemba 02, 2022 huko Abuja. ...Apple yatishia kuiondoa Twitter kwenye App Store
Mfanyabiashara Elon Musk ambaye ni mmiliki mpya wa mtandao wa Twitter ameishutumu Kampuni ya Apple kwa kutishia kuiondoa Twitter kwenye programu zake ...Fahamu sababu za viwanja vya ndege kujengwa karibu na bahari/maziwa
Mioyo ya Watanzania bado ingalia imejawa na majonzi kuhusu vifo vya wenzao 19 vilivyotokana na ajali ya dege ya Precision Air mkoani ...