Teknolojia
Tanzania mbioni kuunda na kurusha satelaiti yake
Serikali imesema katika mwaka huu wa fedha 2022/2023, Tanzania imeanza kuandaa utaratibu wa awali utakaowezesha kuunda na kurusha satelaiti yake angani. Aidha, ...Serikali: Megawati 190 za umeme hazipatikani kutokana na upungufu wa maji
Serikali kupitia Wizara ya Nishati imesema changamoto iliyopo ya kukatika kwa umeme katika baadhi ya maeneo nchini ni kutokana na upungufu wa ...Mabasi 750 ya Mwendokasi kupelekwa Mbagala
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Usafirishaji wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (Dart), Fanuel Karugendo amesema mabasi 750 yaendayo haraka yanatarajiwa kuanza kufanya ...Aina ya moshi unaotoka kwenye gari lako na unachoashiria
Unapoona moshi kwenye gari lako usio wa kawaida unapaswa kujiuliza maswali na kuchukua tahadhari. Kuna aina za moshi ambazo zikitoka kwenye gari ...Mabehewa 36 ya SGR kuwasili nchini kuanzia Novemba 10
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema ameridhishwa na maendeleo na kasi ya ujenzi wa mabehewa mapya kwa ajili reli ya kisasa (SGR) ya ...Kenya kuzalisha nishati ya nyuklia ifikapo 2038
Kenya inategemea kuwa na kinu cha kwanza cha kuzalisha nishati ya nyuklia ifikapo mwaka 2038 ili kukidhi mahitaji yanayoongezeka ya nishati nchini ...