Teknolojia
Taarifa ya TANESCO kuhusu kukosekana kwa huduma ya LUKU
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limewatarifu wananchi kuwa watakosa huduma ya LUKU kutokana na kuwepo kwa matengenezo kinga kwenye kanzi data ya ...Bolt kusitisha huduma ya usafiri kwa wateja binafsi
Kampuni ya Bolt imetangaza kusitisha huduma za usafiri wa magari kwa baadhi ya wateja wake kuanzia Agosti 17, 2022 huku huduma hiyo ...Serikali kuja na mpango wa kupunguza gharama za bando
Serikali imesema inakuja na mpango wa kufanya uwekezaji mkubwa kwenye TEHAMA ili kupunguza gharama za uzalishaji utakaosaidia kushuka kwa bei za ‘Bando’ ...Vitambulisho milioni 10 kuanza kutolewa Januari 2023
Serikali kupitia Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini imesema vitambulisho vya taifa milioni 10 vitaanza kutolewa kuanzia Januari ...TECNO yazindua simu mpya wa CAMON 19, yenye kupiga picha kali hasa usiku
Dar es Salaam, Tanzania, 06 Julai, 2022– TECNO Mobile Tanzania, chapa ya simu za kisasa na bora duniani ambayo imekuwa ikitoa teknolojia ...