Teknolojia
Nairobi: Google yatangaza nafasi za kazi zaidi ya 100
Google imetangaza nafasi za kazi zaidi ya 100 nchini Kenya baada ya kufungua kituo chake cha kwanza cha kuendeleza bidhaa (product development ...Uber yasitisha baadhi ya huduma zake Tanzania
Uber Tanzania imetangaza kusitisha huduma zake za UberX, UberXL na UberX Saver nchini Tanzania kuanzia leo Aprili 14, 2022. Katika taarifa yake ...CAG: Mashine 89 za trafiki hazikuwahi kurekodi muamala wowote mwaka mzima
Utata umeibuka baada ya Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka 2020/21 kubaini kuwa mashine 89 ...Chongolo aipa TBS siku saba kukipa ithibati kiwanda cha Masoud Kipanya
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo ametoa siku saba kwa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kufika katika kiwanda cha ...Serikali: Minara ya simu kwenye makazi haina madhara
Wizari ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imesema kuwa minara ya simu inayowekwa katika maeneo ya wananchi haina madhara yoyote kwani ...Taarifa ya serikali kuhusu ujenzi wa Daraja la Jangwani na Mto Msimbazi
Serikali imetoa taarifa ya kuhamishwa kwa wakazi wa maeneo ya Bonde la Mto Msimbazi ili kupisha uendelezaji wa mradi katika eneo hilo. ...