Teknolojia
Mambo ya kuzingatia unapotaka kununua gari
Kumiliki gari ni matamanio karibia ya kila mtu kutokana na adha ya usafiri hasa jijini Dar es Salaam, ambako wingi wa watu ...TANESCO yatangaza tarehe kuanza kutumia mita zisizohitaji kuingiza ‘token’
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema kwamba kuanzia Julai mwaka huu litaanza kutumia ‘smart meters’ za umeme, ambapo mteja akinunua umeme utaingia ...Uganda: ‘Influencers’ kwenye mitandao ya kijamii kutozwa kodi
Mamlaka ya Mapato Uganda (URA) inatarajia ifikapo Juni 1, 2022 itakuwa na sera ya miamala ya kibishara inayofanyika kupitia intaneti, kama vile ...Tanzania kutengeneza chanjo za UVIKO19
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali yake ina mipango ya kuanzisha kiwanda cha kuzalisha chanjo za COVID-19 na maradhi mengine ndani ya ...Chaneli 15 za YouTube zinazoongoza kwa kutazwa Tanzania
Mtandao wa YouTube si tu umekuwa sehemu ya watu kujiburudisha na kupata ujuzi kuhusu mambo mbalimbali, bali pia umekuwa chanzo cha fedha ...Rais Samia ateua viongozi wapya TTCL, TANTRADE na Tume ya TEHAMA
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Ulingeta Mbamba kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara ...