Teknolojia
Orodha ya vyuo vikuu 10 bora zaidi Tanzania
Hivi karibuni matandao wa Webometric ulitoa viwango vya ubora wa vyo vikuu duniani, chapisho ambalo lilihusisha vyuo vikuu 5,000 kutoka mataifa mbalimbali. ...Infinix NOTE 11 kuwagusa zaidi wadau wa masuala ya urembo
Infinix NOTE 11 kuja na kioo aina ya AMOLED na hii kuwa simu ya kwanza kwenye series ya NOTE kuja na aina ...Njia 7 za kutambua kama iPhone ni feki
Kwa sababu simu zilizoghushiwa mara nyingi kwa mwonekano wa nje hufanana na simu halisi, huwa ni vigumu sana kutambua kwa kuangalia kwamba ...iPhone 13 Pro yadukuliwa na wadukuzi wa China
Tangu serikali ya China ilipopiga marufuku watafiti wa masuala ya usalama kushiriki kwenye mashindano ya kimataifa kama Pwn2Own, mashindano ya Tianfu yanayofanyika ...Hospitali ya KCMC yataja vipimo vya magonjwa 5 inavyotoa bure
Kuanzishwa kwa huduma za kibingwa bobezi katika hospitali hiyo na kuanzisha matibabu na uchunguzi wa saratani pamoja na ujenzi wa wodi ...Agizo la Polisi kwa wapenzi wanaotumiana picha za utupu
Jeshi la Polisi limewataka wasichana na wanawake kujitahadharisha na wapenzi au marafiki zao wanaowadanganya wajipige picha za utupu kisha wawatumie. Taarifa ya ...