Teknolojia
Serikali kuwawezesha vijana wabunifu (startups na techhubs)
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kuwa serikali inatambua uwepo wa vijana wajasiriamali na wabunifu walioanzisha kampuni mbalimbali zikiwemo za teknolojia ...Waziri Ummy asitisha mfumo mpya ukusanyaji wa ada za maegesho ya magari
Serikali imesitisha kwa muda matumizi ya mfumo wa ukusanyaji wa ada za maegesho ya magari kwa kutumia mfumo wa kieleketroniki unaosimamiwa na ...Hizi ndizo ndege zote zilizonunuliwa na serikali tangu 2016
Serikali ya Tanzania leo inapokea ndege mbili mpya aina ya Airbus 220-300 ambazo zitafanya jumla ya ndege zilizonunuliwa tangu mwaka 206 kufikia ...Waliyozungumza Rais Samia na CEO wa Royal Dutch Shell ya Uholanzi
Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Royal Dutch Shell, Ben Van Beurden ameeleza kuwa wanaridhishwa na jinsi Serikali ya Awamu ya Sita ...Taarifa ya TANESCO kuhusu kukosekana huduma ya LUKU
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limewaomba radhi wateja kutokana na hitilafu kwenye mfumo wa manunuzi ya umeme wa LUKU iliyotokea leo Oktoba ...Akauti 25 za ku-follow Twitter Tanzania (Oktoba – Disemba 2021)
Takwimu za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) zinaonesha kuwa idadi ya watumiaji wa huduma za intaneti nchini Tanzania imeongezeka kutoka milioni 26.8 ...