Teknolojia
Akauti 25 za ku-follow Twitter Tanzania (Oktoba – Disemba 2021)
Takwimu za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) zinaonesha kuwa idadi ya watumiaji wa huduma za intaneti nchini Tanzania imeongezeka kutoka milioni 26.8 ...Aina za vifaa vitakavyoathirika leo ‘mtandao’ ukizimwa duniani
Haupaswi kuwa na wasiwasi wa kutokuwa na mtandao wa ‘internet’ kwenye simu yako au kompyuta yako kuanzia leo Septemba 30, labda kama ...TANESCO: Wajamaa na Dunia Mpya ya Biashara
Na Ezekiel Kamwaga TANESCO ni shirika la huduma lakini pia ni shirika la kibiashara. Ndio maana kila mwaka linakaguliwa mahesabu na ripoti ...Bosi Tigo aandika barua polisi kuomba pasi yake ya kusafiria
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tigo Tanzania anayeelekea kumaliza muda wake, Simon Karikari ameliandikia barua Jeshi la Polisi akiliomba kumrudishia pasi yake ...Bosi Tigo ‘akataa’ kuongeza mkataba
Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Tigo Tanzania, Simon Karikari anatarajia kuondoka kwenye kampuni hiyo kufuatia kuamua kutoongeza mkataba, pindi mkataba wake wa ...Punguzo la tozo za miamala kuanza Septemba 7
Serikali imesema kuwa imetoa muda wa siku saba kuanzia Septemba 1 hadi 7 mwaka huu kwa kampuni za simu ziwe zimerekebisha mifumo ...