Teknolojia
Simu 5 salama zaidi kutumia duniani
Watu wengu hutamani kuhakikisha simu wanazotumia zinakuwa salama dhidi ya aina yoyote ya uhalifu wa kimtandao. Lakini mara nyingi huwa si hivyo, ...Serikali yapunguza 50% ya ada za tozo za leseni za maudhui
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa amesema Serikali inakwenda kuondoa 50% ya ada za tozo mbalimbali za leseni kwenye ...Wananchi watakiwa kuhakiki usajili laini za simu
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile ametoa rai kwa wananchi kuendelea kufanya uhakiki wa laini za simu kwa ...Rais aiagiza BoT kujiandaa na matumizi ya sarafu za kimtandao (cryptocurrency)
Rais Samia Suluhu Hassan ameitaka Benki Kuu ya Tanzania kujiandaa na matumizi ya safaru za kimtandao (cryptocurrecy/blockchain), kwani huenda ikafika wakati mabadiliko ...Serikali kutunga sheria kulinda faragha na taarifa za wananchi
Serikali inakusudia kutunga sheria ya kulinda taarifa binafsi kwa lengo la kuhakikisha taarifa binafsi na faragha za watu zinalindwa. Hayo yameelezwa na ...Tumia mbinu hizi ili bando la intaneti lisiishe haraka kwenye simu yako
Andiko hili fupi la kiteknolojia linakupa mbinu muhimu za kuhakikisha kwamba bando katika simu yako haliishi haraka ili uweze kufanya matumizi yako ...