Teknolojia
AfDB yatoa trilioni 1.7 kujenga SGR Tanzania-Burundi
Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) imeidhinisha dola milioni 696.41 ( TZS trilioni 1.74) za kufadhili Tanzania na Burundi kujenga reli ya ...Maeneo 8 ya uwekezaji yenye kuzalisha faida zaidi Tanzania
Tanzania imefungua milango yake wazi kwa wawekezaji wanaotamani kunufaika na uwekezaji wao na pia kuchangia katika ukuaji wa uchumi wa nchi. Taarifa ...Tigo yazindua kampeni ya Magifti Dabo Dabo kuwazawadia wateja wake, milioni 30 na magari mawili ...
Kampuni ya mtindo wa maisha ya kidigitali inayoongoza Tanzania, Tigo, ina shauku kutanganza uzinduzi wa kampeni yake mpya ya ‘Magifti Dabo Dabo’. ...Tanzania yashika nafasi ya 4 Afrika kwenye usalama wa anga
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Tanzania imeshika nafasi ya nne barani Afrika kwenye masuala ya usalama wa anga kwa kupata alama 86.7 ...Idadi ya laini za simu na matumizi ya intaneti vyaongezeka nchini
Mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema kumekuwa na ongezeko la laini za simu nchini hadi kufikia milioni 67.12 kutoka laini million 64.01 ...Rais Samia ajiunga WhatsApp Channel
Rais Samia Suluhu Hassan ameandika historia nchini Tanzania kwa kuwa kiongozi wa kwanza kutumia na kuthibitishwa kwenye mfumo wa mawasiliano wa WhatsApp ...