Teknolojia
Wasafi TV kurudi hewani Machi 1, 2021
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imekiruhusu kituo cha televisheni, Wasafi TV, kuanza tena kurusha matangazo kuanzia Machi Mosi 2021, baada ya kupunguza ...INFINIX YAPASUA ANGA KUWAFIKIA MASHABIKI WAKE KIMATAIFA;
Kampuni pendwa ya simu Infinix Mobility Limited kwa mwaka wa 2020 ilifanya matamasha mbalimbali yenye kuhusisha zaidi mashabiki (fans) wake. kati ya ...WhatsApp yaleta vigezo vipya vya lazima, wanaovikataa kuzuiwa kuitumia
Mtandao wa WhatsApp imewataka watumiaji wake, takribani bilioni mbili duniani kote, kukubali vigezo (terms) vipya vya kutumia programu hiyo, ambavyo vitaiwezesha programu ...Serikali yaahidi kuwawezesha vijana wabunifu wa TEHAMA
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile amesema kuwa Serikali itaweka mazingira wezeshi ya kuendeleza vijana wabunifu wa Teknolojia ...ZIFAHAMU SIFA NA UBORA WA SIMU ZA TECNO KWA MWAKA HUU WA 2020.
Mwaka 2020 karibia unafikia ukingoni, bila shaka mwaka huu umekuwa ni mwaka wa changamoto nyingi kwa duniani nzima, lakini pamoja na hayo ...Ndugulile: Watanzania hawana imani na vifurushi/bando za simu za mkononi
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ameipa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) miezi mitatu kumaliza changamoto za bando na vifurushi zinazotolewa ...