Teknolojia
KAMPUNI YA TECNO KUWA SEHEMU YA SIMU PENDWA ZAIDI DUNIANI.
Ni wazi hichi ni kipindi cha kufanikiwa kwenye uchumi wa utandawazi, kuanzia migahawa, magari, viwanda vidogo na vikubwa na biashara nyingine nyingi ...INFINIX KUTANGAZA RASMI UWEPO WA TOLEO JIPYA – INFINIX HOT 10.
Tanzania, Dar es Salaam, 10/10/2020-Infinix, kampuni bingwa ya uzalishaji wa simu za mkononi imetangaza rasmi uwepo wa toleo jipya katika matoleo ya ...Sekta ya mawasiliano ya simu na kukua kwa teknolojia kunavyobeba fursa za uwekezaji nchini
Emilian Kitine, DIT Hakuna shaka yoyote kwamba mapinduzi ya kiteknolojia yameleta mabadiliko makubwa katika maisha yetu ya kila siku. Ugunduzi wa kupata ...Infinix Hot 10 kuleta mapinduzi ya betri kwenye simu
Betri yenye ujazo mkubwa kwa matumizi mbalimbali kama vile kucheza games, kuangalia video pasipo hofu ya kuzima ndio mategemeo makubwa tulionayo wadau ...Kukua kwa teknolojia ya mawasiliano kunavyochangia maendeleo ya kijamii na kiuchumi Tanzania
Na Bindu Hassan,UDBS Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Dkt. Zainab Chaula wiki hii ameeleza namna sekta ya Teknolojia ...Facebook yadaiwa kuwafuatilia watumia wa Instagram kupitia kamera za simu
Kampuni ya Facebook imeshitakiwa kwa tuhuma za kuwafuatilia watuamiaji wa Instagram kwa kutumia kamera za simu zao bila ridhaa ya watumiaji. Kesi ...