Teknolojia
Tanzania yashika nafasi ya 4 Afrika kwenye usalama wa anga
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Tanzania imeshika nafasi ya nne barani Afrika kwenye masuala ya usalama wa anga kwa kupata alama 86.7 ...Idadi ya laini za simu na matumizi ya intaneti vyaongezeka nchini
Mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema kumekuwa na ongezeko la laini za simu nchini hadi kufikia milioni 67.12 kutoka laini million 64.01 ...Rais Samia ajiunga WhatsApp Channel
Rais Samia Suluhu Hassan ameandika historia nchini Tanzania kwa kuwa kiongozi wa kwanza kutumia na kuthibitishwa kwenye mfumo wa mawasiliano wa WhatsApp ...TCRA: Ukikutwa unatumia VPN faini milioni 5, kifungo mwaka mmoja
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewataka wananchi kwa ujumla na kampuni ambazo kwa asili ya majukumu na kazi zao, matumizi ya mtandao ...Ziara ya Rais Samia nchini India kuwezesha ujenzi wa kiwanda cha simu nchini
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amesema ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan nchini India inatarajia ...TUNZAA yatangaza ushirikiano mkubwa na Vodacom kupitia M-PESA
Wateja wa Vodacom kuanza kutumia huduma za Tunzaa ndani ya aplikesheni ya M-Pesa Super App Tunzaa Digital Holdings Limited (Tanzania), kampuni ya ...