Teknolojia
Vodacom yatoa tuzo ikitimiza miaka 11 bila vifo kazini ikitumia ubunifu
Kampuni ya Teknolojia na mawasiliano, Vodacom Tanzania PLC imewapongeza kwa kuwapatia tuzo mbalimbali washirika na watoa huduma wake kwa kuzingatia viwango vya ...Tanzania na Malawi zasaini makubaliano ya ushirikiano katika mawasiliano
Tanzania na Malawi zimesaini hati za makubaliano (MoU) kwenye Teknolojia ya Habari na Mawasiliano inayogusa masuala ya mawasiliano na digitali yakihusisha mambo ...Vodacom Yazindua Kampeni ya ‘Biashara Pamoja, Tuamini Sisi’, katika maonyesho ya 47 ya Saba Saba
Katika kutekeleza adhma yake ya kutumia ubunifu wa kidigitali kuongeza ufanisi kwenye shughuli mbali mbali ikiwemo zile za kibiashara, kampuni ya mawasiliano ...Majibu 8 kuhusu programu mpya ya ‘Threads’ inayoshindana na Twitter
‘Threads’ ndiyo programu inayoongelewa zaidi kwa sasa kutoka kwa mmiliki wa kampuni ya Meta, Mark Zuckerberg na kuzusha mjadala mkubwa ikiwa programu ...Watu milioni 10 wajiunga Threads ndani ya saa 7, yaahidi kuipita Twitter
Watumiaji milioni 10 wamejisajili kwenye programu tumizi ya ‘Threads’ iliyozinduliwa na kampuni ya Meta katika kipindi cha saa saba tangu kuzinduliwa kwake. ...Teknolojia ya kidigitali kuleta mapinduzi ya elimu Kusini mwa Jangwa la Sahara
Teknolojia za kidigitali na uunganishwaji ni ufunguo wa kuwawezesha vijana wa Afrika kuonyesha uwezo wao. Kwa kuwafungulia milango ya fursa kwa vijana ...