Teknolojia
Waziri Nape azindua ofisi ya kisasa ya Vodacom jijini Dodoma
Waziri Mkuu wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mh. Nape Nnauye amepongeza jitihada za Vodacom Tanzania kwa kufungua ofisi ya kisasa ...Wateja wa TotalEnergies kurudishiwa 10% kupitia ushirikiano na LIPA KWA M-PESA
Dar es Salaam – Juni 21, 2023. Kupitia dhamira ya kuendeleza mfumo wa maisha wa kutotumia pesa taslimu nchini, huduma ya M-Pesa ...Vodacom yazindua mnara wa mawasiliano Makunduchi, Zanzibar
Katika kuunga mkono azma ya serikali ya kupanua na kuimarisha huduma za mawasiliano nchini kote, kampuni ya teknolojia na mawasiliano ya Vodacom ...Barabara za mwendokasi kufungwa vizuizi vya umeme kuzuia magari binfasi
Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka mkoani Dar es Salaam (DART) unatarajia kuweka vizuizi kwenye vituo vyake vya mabasi ili kuzuia magari na ...Sasa utaweza kuhariri (edit) ujumbe unaotuma WhatsApp
WhatsApp imetangaza kuongeza kipengele kipya cha kuhariri ujumbe uliokosewa kwa watumiaji utakaonza kutumika hivi karibuni duniani kote. Mtandao huo unaomilikiwa na Meta ...China yaifungia kampuni kubwa ya teknolojia ya Marekani
China imetangaza kuwa bidhaa zinazotengenezwa na kampuni ya teknolojia ya Marekani, Micron Technology, ni hatari kwa usalama wa taifa hilo. Mamlaka ya ...