Teknolojia
Waziri Nape: Polisi ondoeni huruma kwa matapeli wa mtandaoni
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ametangaza kiama kwa matapeli wote wa mitandao ya simu nchini ili Watanzania ...Maswali manne ya kuuliza unapotaka kununua gari kwa mtu
Kumiliki gari ni jambo ambalo vijana wengi wanatamani kutokana na adha ya usafiri hasa kwa jiji la Dar es salam. Kumiliki gari ...Ajira milioni 14 kutoweka ndani ya miaka 5 ijayo
Jukwaa la Uchumi Duniani (WEF) limesema kufikia mwaka 2027 nafasi mpya za kazi milioni 69 zitaundwa, na kuondolewa kwa nafasi milioni 83 ...Mufti aomba Serikali na wadau kununua chombo cha kutazamia mwezi
Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir ameiomba Serikali na wadau kusaidia upatikanaji wa darubini ya kukusanya taarifa za mwandamo wa mwezi (moon ...Serikali yafunga Wi-Fi ya bure maeneo ya umma
Serikali imesema hadi kufikia sasa utekelezaji wa kufunga mtandao wa Wi-Fi katika maeneo ya umma umefanyika katika vituo sita nchini ambavyo vitatoa ...Kwanini watu huweka ‘airplane mode’ wakiwa ndani ya ndege?
Kuna sababu kadhaa kwa nini unashauriwa kuwweka ‘airplane mode’ kwenye simu yako wakati ukiwa ndani ya ndege. Kwanza ni usalama wa ndege ...