Travel
Discover exciting world events, luxury travel deals, safety tips and more
DC aagiza msako wa bodaboda waliotoboa eksozi
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Julius Mtatiro ameagiza kufanyika msako mkali wa kuwakamata waendesha pikipiki (bodaboda) waliotoboa eksozi za pikipiki. Amesema vitendo ...Serikali: Tanzania na Marekani zitaendeleza mazungumzo kuhusu udhibiti wa viza
Serikali imesema itaendeleza mazungumzo ya kidiplomasia na Serikali ya Marekani yanayolenga kupata muafaka kuhusu uamuzi wa kuiweka Tanzania katika kundi la nchi ...Dkt. Nchimbi kuzindua ukarabati Reli ya TAZARA
Makamu wa Rais, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi anatarajiwa kumwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la ...Serikali kuanzisha bima ya safari kwa raia wa kigeni wanaoingia nchini
Serikali imetangaza kuanzisha bima ya safari kwa raia wa kigeni wanaoingia Tanzania Bara itakayogharimu Dola za Marekani 44 [TZS 116,100]. Leongo la ...Madhara ya kuweka ngao kwenye magari
Ngao (Push bumper, bull bar, nudge bar, au brush guard kutegemea muundo na matumizi) ni kifaa cha chuma au plastiki kigumu kinachowekwa ...








