Uchaguzi Mkuu Tanzania 2020
ACT Wazalendo yamteua Membe kuwa Mshauri Mkuu
Chama cha upinzani nchini Tanzania, ACT Wazalendo kimemteua Bernard Membe kuwa Mshauri Mkuu wa chama hicho. Taarifa iliyotolewa na kiongozi wa chama, ...Upigaji kura Zanzibar kufanyika siku mbili
Wananchi visiwani Zanzibar wanatarajia kupiga kura kwa siku mbili katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 28 mwaka huu. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa ...Rais Magufuli: Wengine mnaweza msichukue fomu muamue Magufuli amepita
Rais wa Tanzania, Dkt. Magufulia amesema kuwa wagombea wa vyama vingine wanaweza kuamua kutokuchukua fomu za kugombea Urais wa Tanzania, badala yake ...CHADEMA yaomba polisi kumpatia Lissu ulinzi akirejea
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kuwa kimeliomba Jeshi la Polisi kumpatia Tundu Lissu ulinzi atakaporejea nchini kwa sababu usalama wake ...Waliohamia CCM waangukia pua kura za maoni
Waliokuwa wanachama wa vyama vya upinzani nchini Tanzania ambao kwa nyakati tofauti walihama vyama vyao na kujiunga Chama cha Mapinduzi (CCM) wameshindwa ...Makonda: Mapenzi ya Mungu ni makubwa kuliko mapenzi yangu
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amewashukuru wote waliomtumia salamu za pole baada ya kushindwa katika kura za maoni za ...