Uchaguzi Mkuu Tanzania 2020
Ufafanuzi wa NEC kuhusu adhabu aliyopewa Tundu Lissu
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kuwa haijatoa adhabu kwa mgombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu bali adhabu hiyo ...Polisi Dar wasitisha kumhoji Tundu Lissu
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesitisha barua ya kumuita mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu. Akitoa taarifa hiyo, ...Msajili: Vyama vya siasa haviruhusiwi kuungana ghafla wakati wa uchaguzi
Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza, amesema kuwa vyama vya siasa haviruhusiwi kuungana ghafla wakati wa uchaguzi kwani sheria ya ...Tundu Lissu atakiwa kuripoti kituo cha polisi Kilimanjaro
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ametakiwa kuripoti kituo cha polisi mkoani Kilimanjaro kwa ajil ...Mkurugenzi wa Uchaguzi, Dkt. Mahera atumiwa barua ya vitisho
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dkt. Charles Mahera amesema licha ya mafanikio makubwa ambayo taasisi hiyo inajivunia ...Polisi: Tundu Lissu hakuwa na ratiba ya kampeni Tarime
Jeshi la Polisi limetoa ufafanuzi kuhusu madai kuwa mkutano wa kampeni wa mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu huko Nyamongo mkoani Mara ...