Uchumi
Rais Mwinyi: Ziara ya Uingereza imekuwa na manufaa makubwa kwa Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi ameeleza kuwa ziara yake Uingereza imekuwa na manufaa makubwa kwa ...China: Tumefanikiwa kwa juhudi zetu wenyewe
Rais wa China, Xi Jinping, amesema taifa lake limeendelea kwa zaidi ya miaka 70 kwa kutegemea juhudi zake binafsi na si msaada ...Tanzania na Angola kuimarisha ushirikiano katika biashara na uwekezaji
Serikali ya Tanzania imetangaza kuondoa masharti ya viza za utalii kwa raia wa Angola wanaotaka kutembelea nchi hiyo, hatua inayolenga kurahisisha safari, ...Trump atishia kuiongezea China ushuru mwingine wa asilimia 50
Rais wa Marekani, Donald Trump ametishia kuiwekea China ushuru wa ziada wa asilimia 50 kwa bidhaa zinazoingizwa Marekani ikiwa haitafuta ushuru wake ...Matajiri 10 duniani waliopata hasara kubwa kufuatia ushuru mpya wa Trump
Rais Donald Trump Jumatano ametangaza kuwa Marekani itaweka ushuru wa asilimia 10 kwa kila nchi duniani, huku viwango vya juu zaidi vikilenga ...Ushuru mpya wa Trump watikisa masoko ulimwenguni
Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza ushuru mpya kwa bidhaa zote zinazoingia nchini humo, kiwango cha chini kikiwa asilimia 10, huku baadhi ...