Uchumi
Wafanyakazi wa Kenya Pipeline kwenda jela kwa wizi wa mafuta
Wafanyakazi wawili wa zamani wa Kampuni ya Kenya Pipeline (KPC) wamehukumiwa kulipa faini ya Ksh milioni 10 kila mmoja [TZS milioni 202.06] ...Kampuni ya Barrick yachangia mapato ya TZS trilioni 3.6 serikalini kwa miaka minne
Kampuni ya uchimbaji madini ya Dhahabu ya Barrick imechangia kiasi cha shilingi trilioni 3.6 katika mapato ya serikali kupitia kodi, mrabaha, na ...Bunge lapitisha sheria mpya, TISEZA kuchukua nafasi ya TIC na EPZA kuboresha uwekezaji
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Februari 13, 2025, limepitisha Muswada wa Sheria ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi, ...Serikali: Kubadili jina la kampuni haiathiri wala haihusiani na masuala ya kikodi
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), amesema Serikali imechukua hatua madhubuti kudhibiti mianya ya ukwepaji kodi unaosababishwa na mabadiliko ya majina ...Benki ya Dunia na AfDB zatenga Trilioni 102 kufanikisha umeme kwa watu milioni 300 Afrika
Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) na Benki ya Dunia zimetenga dola bilioni 40 za Kimarekani [TZS trilioni 102] ili kufikia lengo ...Ubia wa Barrick na Twiga umeingizia uchumi wa Tanzania TZS trilioni 10.1
Kampuni ya Dhahabu ya Barrick imeingiza zaidi ya shilingi trilioni 10.1 katika uchumi wa Tanzania tangu kuanzishwa kwa ubia wa Twiga kati ...