Uchumi
Mkurugenzi wa Sumbawanga aunganishwa kesi ya uhujumu uchumi
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imewaunganisha washitakiwa wengine saba akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mpimbwe mkoani Katavi, ...Mhasibu wa Wilaya ya Same jela miaka 20 kwa uhujumu uchumi
Mahakama ya Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro imemhukumu aliyekuwa Mhasibu wa Halmashauri hiyo, Paulo Teveli kifungo cha miaka 20 jela bila faini ...Ufanisi wa Bandari ya Mtwara waongezeka zaidi ya mara mbili
Katika juhudi za kuboresha huduma za Bandari ya Mtwara, mitambo mpya inayojulikana kama harbour crane ya kupakia na kushusha shehena kwenye meli, ...Tanzania na Rwanda kuboresha ufanisi wa Bandari ya Dar es Salaam
Tanzania na Rwanda kwa pamoja zimeafikiana kuweka mazingira mazuri ambayo yatasaidia kuongeza ufanisi wa matumizi ya Bandari ya Dar es Salaam kama ...Ruto ataka nchi za Afrika Mashariki zipewa miaka 50 kulipa madeni
Rais wa Kenya, William Ruto amesema ipo haja ya kurekebisha sera zilizopo za ulipaji wa madeni ambazo amedai zinazorotesha mataifa ya Afrika ...Wafanyabiashara wa mafuta Kenya hali tete baada ya Uganda kuichagua Bandari ya Tanga
Wafanyabiashara wa mafuta nchini Kenya wako katika hali mbaya baada ya Uganda kusisitiza msimamo wake wa kuanza mazungumzo na Tanzania ili kuagiza ...